Kuku aliyekufa ndani ya kisima ananajisi maji?

Swali: Kuna kisima ambacho kuku amekufa ndani yake. Je, maji hayo yananajisika au hapana?

Jibu: Ikiwa maji hayakubadilika hayanajisiki. Allaah ndiye mjuzi zaidi.

  • Mhusika: Shaykh-ul-Islaam Ahmad bin Taymiyyah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (21/39)
  • Imechapishwa: 19/11/2017