Swali: Kuna muadhini anaadhini wakati mwenzake hayupo ambapo anakuja mtu mwengine na kukimu swalah na anamkataza yule muadhini wa kwanza kukimu. Je, huyu ana haki ya kufanya hivo?
Jibu: Msingi ni kwamba muadhini ndio mwenye kukimu. Endapo atakimu mwengine hakuna neno. Lakini lililo bora ni kwamba yule muadhini ndiye anatakiwa kusimamia kukimu. Iwapo atasimamia mwengine hakuna neno.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (03) http://audio2.islamweb.net/lecturs/aalrrajhee/430/430.mp3
- Imechapishwa: 23/03/2018
Swali: Kuna muadhini anaadhini wakati mwenzake hayupo ambapo anakuja mtu mwengine na kukimu swalah na anamkataza yule muadhini wa kwanza kukimu. Je, huyu ana haki ya kufanya hivo?
Jibu: Msingi ni kwamba muadhini ndio mwenye kukimu. Endapo atakimu mwengine hakuna neno. Lakini lililo bora ni kwamba yule muadhini ndiye anatakiwa kusimamia kukimu. Iwapo atasimamia mwengine hakuna neno.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (03) http://audio2.islamweb.net/lecturs/aalrrajhee/430/430.mp3
Imechapishwa: 23/03/2018
https://firqatunnajia.com/kukimu-muadhini-ambaye-hakutoa-adhaana/