Kukata swalah ya Sunnah kwa ajili ya kuswalia jeneza

Swali 322: Ikiwa mtu ameitwa juu ya swalah ya jeneza na tayari ameshaanza Sunnah aikate?

Jibu: Sijui kama kuna kizuizi. Wakati wa Sunnah ni mpana.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 112