Swali: Ni ipi hukumu ya kukata kucha chooni na kuzitupa pamoja na taka zengine?

Jibu: Bora ni kutofanya hivo kwa ajili ya kuyaheshimisha. Lakini endapo atafanya hivo hakuna neno.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (11/133)
  • Imechapishwa: 30/06/2017