Swali: Lau kwamba mtu amemuomba mwengine amuwekee amana ya kitu cha haramu, kisha akakichukua na kukikana. Je, inajuzu kwake kufanya hivyo?

Jibu: Ikiwa ni pombe, aimwage na aikane; hakuna tatizo.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25426/حكم-من-اىتمن-على-شيء-محرم-ثم-جحده
  • Imechapishwa: 19/03/2025