Swali: Ni ipi hukumu ya kuswali na viatu? Je ni wajibu au imependekezwa?
Jibu: Kuswali na viatu inajuzu na imependekezwa wakati fulani. Nafsi yako ikiwa na kitu [katika mashaka na wasiwasi] ni wajibu kwako kuswali na viatu mpaka nafsi yako ikinaike na hukumu hii.
- Muhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alnajmi.net/voices.php?action=show&id=167
- Imechapishwa: 20/09/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket