Swali: Anayepitwa na Rukuu´ ya kwanza katika swalah ya kupatwa kwa mwezi na akawahi Rukuu´ ya pili anazingatiwa amewahi Rak´ah?
Jibu: Analazimika kuilipa.
- Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 177
- Imechapishwa: 03/07/2022
Swali: Anayepitwa na Rukuu´ ya kwanza katika swalah ya kupatwa kwa mwezi na akawahi Rukuu´ ya pili anazingatiwa amewahi Rak´ah?
Jibu: Analazimika kuilipa.
Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 177
Imechapishwa: 03/07/2022
https://firqatunnajia.com/kujiunga-na-imamu-kwenye-rukuu-katika-swalah-ya-kupatwa-kwa-jua-na-mwezi/