Swali: Ambaye alijitenga na Mu´aadh na akaswali peke yake?

Jibu: Ndio, alijitenga na Mu´aadh na akaswali peke yake.

Swali: Je, ndani yake kuna kufaa kujitenga na mkusanyiko wakati wa haja?

Jibu: Ndio, inafaa imamu akirefusha na ikawa ni vigumu kwa baadhi ya waswaliji kwa sababu wana haja au wana unyonge fulani. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) hakumkemea, bali alimkemea Mu´aadh.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24166/متى-يجوز-للماموم-الانفراد-عن-الامام
  • Imechapishwa: 08/09/2024