Swali: Ni ipi hukumu ya kujisafisha sehemu za siri kwa maji ya zamzam?

Jibu: Hakuna neno kufanya hivo. Hakukuthibiti makatazo.

  • Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13965
  • Imechapishwa: 26/06/2020