Kujipamba wakati wa kwenda msikitini

Swali: Je, inapendeza au ni wajibu kuvaa mapambo wakati wa kwenda msikitini?

Jibu: Kinachotambulika ni kwamba inapendeza. Kilicho cha wajibu ni Sutrah tu.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24667/هل-اخذ-الزينة-للمسجد-مستحب-ام-واجب
  • Imechapishwa: 22/11/2024