Swali: Ni ipi hukumu ya kuitwa kwa jina “Majiyd”?
Jibu: Majiyd ni sawa. Lakini hata hivyo haijuzu kuitwa kwa jina “al-Majiyd”. al-Majiyd huitwa Allaah pekee. Bora zaidi akiitwa ´Abdul-Majiyd.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (65) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-04-09.mp3
- Imechapishwa: 21/08/2020
Swali: Ni ipi hukumu ya kuitwa kwa jina “Majiyd”?
Jibu: Majiyd ni sawa. Lakini hata hivyo haijuzu kuitwa kwa jina “al-Majiyd”. al-Majiyd huitwa Allaah pekee. Bora zaidi akiitwa ´Abdul-Majiyd.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (65) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-04-09.mp3
Imechapishwa: 21/08/2020
https://firqatunnajia.com/kuitwa-kwa-jina-la-majiyd/