Swali: Neno “Khawaarij” anaambiwa yule mwenye kufanya uasi kwa mtawala wa waislamu peke yake au yule ambaye amekusanya I´tiqaad zote mbovu za Khawaarij ikiwa ni pamoja na kupinga uombezi, kukufurisha kwa dhambi kubwa na kuwafanyia uasi watawala? Anaambiwa nini yule mwenye kuamini baadhi ya I´tiqaad zao tu?
Jibu: Mwenye kuitakidi baadhi ya I´tiqaad zao, yeye ni kama wao. Akiitakidi I´tiqaad zao zote, huyu ni mbaya zaidi.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (04) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2107
- Imechapishwa: 01/07/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)