Swali: Je, inajuzu kumpwekesha mtu katika salamu kwa kusema “wa ´alaykas-Salaam” badala ya kusema “wa ´alaykumus-Salaam” au ni lazima kusema “wa ´alaykumus-Salaam”?
Jibu: Hii ndio bora. Bora zaidi ni kusema “wa ´alaykumus-Salaam”. Ukisema “wa ´alaykas-Salaam” inatosheleza.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (33) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-10-24_0.mp3
- Imechapishwa: 15/11/2014
Swali: Je, inajuzu kumpwekesha mtu katika salamu kwa kusema “wa ´alaykas-Salaam” badala ya kusema “wa ´alaykumus-Salaam” au ni lazima kusema “wa ´alaykumus-Salaam”?
Jibu: Hii ndio bora. Bora zaidi ni kusema “wa ´alaykumus-Salaam”. Ukisema “wa ´alaykas-Salaam” inatosheleza.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (33) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-10-24_0.mp3
Imechapishwa: 15/11/2014
https://firqatunnajia.com/kuitikia-salaam-kwa-kusema-wa-alaykas-salaam__trashed/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)