Kuipamba swalah ili wengine waige

Swali: Ni ipi hukumu ya mwenye kuipamba swalah yake ili ndugu zake waweze kumuiga?

Jibu: Ikiwa malengo yake ni kufunza swalah, basi itambulike kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Swalini kama mlivyoniona nikiswali.”

Ikiwa makusudio yake awe ni kiigizo chema na kufunza ni sawa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Nawaaqidh-il-Islaam http://ajurry.com/safrawy/chorohat-elakida/chorohat-nawakid-elislam/charh-salah-fawzan/01.mp3
  • Imechapishwa: 03/08/2018