Swali: Wakati mwingine mbebaji wa Qur-aan anakuwa mbele ya waswaliji, nao wakanyosha miguu yao mbele ya msahafu. Je, kuna tatizo?

Jibu: Hakuna neno, hakuna neno. Haikusudiwi dharau. Kinachokusudiwa ni kupumzika.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/28045/حكم-مد-الرجل-باتجاه-المصحف
  • Imechapishwa: 19/04/2025