Kuhiji kwa niaba ya aliye hai ambaye ameshahiji

422 – Nilimuuliza Shaykh wetu kuhusu kuwafanyia Hajj walio hai ambao tayari wameshahiji.

Jibu: Hapana. Hijjah ni kwa ajili ya wafu na walio hai ambao hawawezi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 138
  • Imechapishwa: 23/08/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´