Swali: Kuna mlinganizi anayewazungumzia kwa ubaya watawala na kusema kuwa ni wajibu kufanya uasi kwa watawala. Je, wanazingatiwa hawa kuwa wamechukua pote la Khawaarij na mfumo wa Qa´diyyah?
Jibu: Ndio, hakuna shaka yoyote juu ya hilo. Huu ni mfumo wa Khawaarij. Kuhamasisha uasi kwenyewe ni uasi.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-Muhsin bin Hamad al-´Abbaad
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kanda ”al-Hamalaat al-I´laaniyyah dhiwdd Hukkaam wa ´Ulamaa’ Bilaad-il-Haramayn”
- Imechapishwa: 05/09/2020
Swali: Kuna mlinganizi anayewazungumzia kwa ubaya watawala na kusema kuwa ni wajibu kufanya uasi kwa watawala. Je, wanazingatiwa hawa kuwa wamechukua pote la Khawaarij na mfumo wa Qa´diyyah?
Jibu: Ndio, hakuna shaka yoyote juu ya hilo. Huu ni mfumo wa Khawaarij. Kuhamasisha uasi kwenyewe ni uasi.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-Muhsin bin Hamad al-´Abbaad
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Kanda ”al-Hamalaat al-I´laaniyyah dhiwdd Hukkaam wa ´Ulamaa’ Bilaad-il-Haramayn”
Imechapishwa: 05/09/2020
https://firqatunnajia.com/kuhamasisha-uasi-kwenyewe-ni-uasi/