Swali: Baadhi ya wazee husema kwamba haijuzu kugeuza kiatu juu ya mgongo wake kwa sababu mgongo wake unaelekea uso wa Allaah. Je, maneno hayo ni sahihi?
Jibu: Kugeuza kiatu kwa njia ya kwamba kwa chini yake kunakuwa juu ni uchafu na jambo la kuchukiza. Chini yake kunakanyaga ardhi na hivyo mvaaji viatu hivyo anakanyaga navyo juu ya ardhi na pengine akakanyaga kitu katika uchafu.
´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
´Abdur-Razzzaq ´Afiyfiy
´Abdullaah bin al-Ghudayyaan
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Lajnah ad-Daaimah (26/303) nr. (14468)
- Imechapishwa: 01/06/2022
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)