Kugawa mirathi ya mgonjwa ambaye ameambiwa atafariki


Swali: Daktari akihukumu kwamba ubongo wa mtu fulani umekufa. Je, itafaa kugawa mirathi yake na kuzingatia tayari kishakufa?

Jibu: Hapana. Mirathi yake haigawiwi isipokuwa mpaka roho yake itoke kwenye kiwiliwili chake kabisakabisa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (94) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/%D8%A5%D8%BA%D8%A7%D8%AB%D8%A9%20%D8%A7%D9%84%D9%84%D9%87%D9%81%D8%A7%D9%86-27-01-1440%D9%87%D9%80.mp3
  • Imechapishwa: 08/02/2019