Kumuoa mwanamke wa kinaswara asiyetendea kazi dini yake

Swali: Je, inajuzu kumuoa mwanamke wa kinaswara ambaye haitendei kazi dini yake wala haendi kabisa kanisani?

Jibu: Haijuzu kumuoa mwanamke wa kinaswara ambaye haitendei kazi dini yake wala haendi kanisani. Huyu sio mwanamke wa kinaswara.

Check Also

Kaoa mwanamke wa Ahl-ul-Kitaab ambaye hataki kuingia katika Uislamu

Swali: Nimeoa mwanamke wa Ahl-ul-Kitaab kabla ya kuwa na msimamo, na nimepewa fatwa na baadhi …