Swali: Vipi ikiwa siku ya ´Arafah itaangukia siku ya ijumaa?

Jibu: Hapana vibaya ikiwa mtu ataifunga, kwa sababu ameifunga kwa sababu ni ´Arafah na si kwa sababu ni siku ya ijumaa.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 128
  • Imechapishwa: 05/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´