Swali 48: Baadhi ya wasomaji matabano huamrisha walipatwa na kijicho wafumbe macho wakati wa kusomewa ili wamuone aliyemsibu kwa kijicho?
Jibu: Hapana, hii ni miongoni mwa michezo ya shaytwaan. Shaytwaan anawachezea.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 39
- Imechapishwa: 07/08/2025
- Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
Swali 48: Baadhi ya wasomaji matabano huamrisha walipatwa na kijicho wafumbe macho wakati wa kusomewa ili wamuone aliyemsibu kwa kijicho?
Jibu: Hapana, hii ni miongoni mwa michezo ya shaytwaan. Shaytwaan anawachezea.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 39
Imechapishwa: 07/08/2025
Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
https://firqatunnajia.com/kufumba-macho-wakati-wa-matabano/