Swali 324: Ni lini inajuzu kufukua kaburi?

Jibu: Ikiwa kuna manufaa ya kufanya hivo. Kwa mfano amezikwa na pesa zake na kama vile Jaabir alivyofukua kaburi la baba yake [´Abdullaah bin Ubayy bin Saluul].

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 113
  • Imechapishwa: 25/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´