Swali 803: Je, anapata dhambi ambaye anafasiri ndoto pasi na elimu?

Jibu: Kuna uwezekano mkubwa kwamba anapata dhambi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 290
  • Imechapishwa: 12/07/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´