Kufanya upole mpaka katika kuendesha gari

Swali: Kuendesha gari kunaingia katika kufanya upole na ulaini?

Jibu: Ndio, katika magari, ngamia, farasi, punda na nyumbu, hata katika kutembea kwake mwenyewe na utoaji wake kwa familia yake, watoto wake na majirani zake.

Swali: Watu wengine huwa na tabia hiyo ya ukali daima. Je, waambiwe kufanya upole?

Jibu: Ni lazima ajitahidi kujitibu, ajihimize nafsi yake hadi atibu tabia zake mbaya kwa tabia njema.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/28785/هل-تدخل-قيادة-السيارات-في-الرفق
  • Imechapishwa: 25/04/2025