390 – Nilimuuliza Shaykh wetu kuhusu mtu anayebebwa wakati wa Twawaaf. Je, ni sharti kwamba Qiblah kiwe upande wa kushoto?
Jibu: Hii ndiyo kanuni ya msingi.
391 – Muulizaji akasema kwamba jambo hilo ni gumu.
Jibu: Inahitaji kutafakari. Kama ulivyosema ni vigumu na inaweza kupuuzwa.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 134
- Imechapishwa: 17/08/2025
- Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
390 – Nilimuuliza Shaykh wetu kuhusu mtu anayebebwa wakati wa Twawaaf. Je, ni sharti kwamba Qiblah kiwe upande wa kushoto?
Jibu: Hii ndiyo kanuni ya msingi.
391 – Muulizaji akasema kwamba jambo hilo ni gumu.
Jibu: Inahitaji kutafakari. Kama ulivyosema ni vigumu na inaweza kupuuzwa.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 134
Imechapishwa: 17/08/2025
Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
https://firqatunnajia.com/kufanya-qiblah-upande-wa-kushoto-kwa-aliyembeba-mtu-wakati-wa-twawaaf/