Kuzikwa pamoja na waja wema ni bora zaidi. Kwa minajili hiyo ndio maana ´Umar akamwomba ´Aaishah azikwe pamoja na Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na Abu Bakr as-Swiddiyq (Radhiya Allaahu ´anh). Aidha maneno na ombi la Muusa kukurubishwa na ardhi Takatifu.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 109
  • Imechapishwa: 23/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´