Swali: Kutunga kitabu kwa lengo la biashara.

Jibu: Akitunga kitabu kwa lengo la kuwanufaisha waislamu kisha akakiuza…

Swali: Lengo lake ni biashara?

Jibu: Hapati thawabu isipokuwa akiwa na lengo la kuwanufaisha waislamu. Ikiwa lengo lake ni dunia hapati kitu zaidi ya dunia.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22186/حكم-نشر-العلم-بقصد-الدنيا-والتجارة
  • Imechapishwa: 05/11/2022