Swali 331: Je, inafaa kuchukua fedha badala ya zakaah ya wanyama?
Jibu: Ikiwa kiongozi ataonelea hivyo, basi ni haki yake kuchukua fedha kwa ajili ya kuwanufaisha masikini.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 117
- Imechapishwa: 29/05/2025
- Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
Swali 331: Je, inafaa kuchukua fedha badala ya zakaah ya wanyama?
Jibu: Ikiwa kiongozi ataonelea hivyo, basi ni haki yake kuchukua fedha kwa ajili ya kuwanufaisha masikini.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 117
Imechapishwa: 29/05/2025
Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
https://firqatunnajia.com/kuchukua-fedha-badala-ya-zakaah-ya-wanyama/