Swali: Inajuzu kuchukua elimu ya Fiqh kwa Suufiyyah na wanachuoni wa Suufiyyah?
Jibu: Allaah amekutosheleza nao. Wanachuoni wa Sunnah ni wengi na himidi zote ni Zake Allaah. Tafuta elimu kwa wanachuoni wa Ahl-us-Sunnah hata kama hili litahitajia kusafiri na kuwaendea. Na si lazima ukae miaka, hata kama itakuwa kwa mwezi mmoja au nusu ya mwezi.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Imechapishwa: 04/09/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)