Kuchinja Udhhiyah kwa mkono wa kushoto

Swali: Mimi nachinja katika Udhhiyah kwa mkono wa kushoto kwa sababu siwezi kutumia vizuri mkono wa kulia.

Jibu: Hapana vibaya akichinja kwa mkono wa kushoto kwa mujibu wa Shari´ah.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/14411/حكم-ذبح-الاضحية-باليد-اليسرى
  • Imechapishwa: 08/06/2024