Swali: Je, kumepokelewa kitu kuhusiana na kuchinja Udhhiyah siku ya ´Arafah?

Jibu: Siku ya ´Arafah hakuna kichinjwa. Kuchinja inakuwa siku ya ´iyd na masiku ya ´iyd.

Swali: Baadhi ya watu wa kawaida wanachinja siku ya ´Arafah?

Jibu: Siku ya ´Arafah kunafungwa. Anayetaka kufunga afunge. Swawm ni Sunnah. Isipokuwa mahujaji wao hawatofunga.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22059/هل-ليوم-عرفة-اضحية
  • Imechapishwa: 14/06/2024