454 – Nilimuuliza Shaykh wetu kuhusu mtu anayefanya Hijjah ya Tamattu’ kubadilisha kwenda katika Qiraan.
Jibu: Wanazuoni wengi wanaona kufaa. Hata hivyo Ibn-ul-Qayyim na jopo la wanazuoni wengine wamekataza kufanya hivo. Kisha Shaykh wetu akasema kuwa inajuzu, ingawa ni kuacha kilicho bora.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 161
- Imechapishwa: 25/09/2025
- Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
454 – Nilimuuliza Shaykh wetu kuhusu mtu anayefanya Hijjah ya Tamattu’ kubadilisha kwenda katika Qiraan.
Jibu: Wanazuoni wengi wanaona kufaa. Hata hivyo Ibn-ul-Qayyim na jopo la wanazuoni wengine wamekataza kufanya hivo. Kisha Shaykh wetu akasema kuwa inajuzu, ingawa ni kuacha kilicho bora.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 161
Imechapishwa: 25/09/2025
Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
https://firqatunnajia.com/kubadilisha-tamattu-kwenda-qiraan/