Swali: Ni ipi hukumu ya kuweka mkono juu ya musahafu kisha mtu akaapa?
Jibu: Ni jambo lisilikuwa na msingi. Musahafu hautumiwi kwa kuweka mkono juu yake wakati wa kuapa. Hautumiwi kwa ajili ya jambo hili.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=yw7cwgyaUVk
- Imechapishwa: 27/05/2018
Swali: Ni ipi hukumu ya kuweka mkono juu ya musahafu kisha mtu akaapa?
Jibu: Ni jambo lisilikuwa na msingi. Musahafu hautumiwi kwa kuweka mkono juu yake wakati wa kuapa. Hautumiwi kwa ajili ya jambo hili.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=yw7cwgyaUVk
Imechapishwa: 27/05/2018
https://firqatunnajia.com/kuapa-kwa-kuweka-mkono-juu-ya-qur-aan/