Swali: Ni aina gani ya kufuru kwa anayeapana kwa amana?

Jibu: Ni aina ya shirki ndogo. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

”Yeyote mwenye kuapa kwa amana si katika sisi.”

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24652/حكم-الحلف-بالامانة
  • Imechapishwa: 21/11/2024