Swali: Ni ipi hukumu ya kuapa kwa Aayah za Allaah?

Jibu: Hapana vibaya akiapa kwa Qur-aan, kwa sababu ni maneno ya Allaah. Akiapa kwa Aayah za Allaah, hali ya kukusudia Qur-aan, hapana vibaya.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24653/حكم-القسم-بايات-الله
  • Imechapishwa: 21/11/2024