Kuandika kuhusu maiti kwenye magazeti

Swali 296: Kuandika kuhusu maiti kwenye magazeti?

Jibu: Huko ni kujikalifisha. Hata hivyo si katika aina ya kuomboleza.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 108
  • Imechapishwa: 22/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´