Kualika watu katika ´Aqiyqah

Swali: Je, imethibiti kuwa ´Aqiyqah kwa mvulana au msichana inagawanywa au kualikwa watu?

Jibu: Inajuzu kualika watu na inajuzu yeye kuila na watu wa nyumbani kwake. Lakini bora zaidi atoe Swadaqah pia hata kama itakuwa kitu kidogo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (69) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13888
  • Imechapishwa: 16/11/2014