Swali: Je, adhaana kabla ya wakati inasihi?
Jibu: Adhaana kabla ya wakati haisihi. Kwa sababu Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Utapofika wakati wa swalah, basi aadhini mmoja wenu na mkubwa wenu aswalishe.”[1]
Swalah haiwezi kuswaliwa isipokuwa baada ya kuingia wakati. Hadiyth ni yenye kuenea na haikubagua kitu. Haipingani na Hadiyth inayosema:
“Bilaal anaadhini usiku ili arudi anayeswali katika nyinyi na aamke anayelala katika nyinyi.”[2]
Inafahamisha kuwa adhaana ya Bilaal sio kwa ajili ya swalah Fajr.
[1] al-Bukhaariy (628).
[2] al-Bukhaariy na Muslim.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (12/189)
- Imechapishwa: 22/05/2026
Swali: Je, adhaana kabla ya wakati inasihi?
Jibu: Adhaana kabla ya wakati haisihi. Kwa sababu Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Utapofika wakati wa swalah, basi aadhini mmoja wenu na mkubwa wenu aswalishe.”[1]
Swalah haiwezi kuswaliwa isipokuwa baada ya kuingia wakati. Hadiyth ni yenye kuenea na haikubagua kitu. Haipingani na Hadiyth inayosema:
“Bilaal anaadhini usiku ili arudi anayeswali katika nyinyi na aamke anayelala katika nyinyi.”[2]
Inafahamisha kuwa adhaana ya Bilaal sio kwa ajili ya swalah Fajr.
[1] al-Bukhaariy (628).
[2] al-Bukhaariy na Muslim.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (12/189)
Imechapishwa: 22/05/2026
https://firqatunnajia.com/kuadhini-kabla-ya-kuingia-wakati/