Hakuna tofauti yoyote kwamba inafaa kwa mgonjwa kuacha swalah ya ijumaa na swalah ya mkusanyiko. Pia yule mwenye kuziacha kwa kuchelea asije kupatwa na maradhi amepewa udhuru.
- Muhusika: Imaam ´Aliy bin Sulaymaan al-Mardaawiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Inswaaf (4/464)
- Imechapishwa: 15/03/2020
Hakuna tofauti yoyote kwamba inafaa kwa mgonjwa kuacha swalah ya ijumaa na swalah ya mkusanyiko. Pia yule mwenye kuziacha kwa kuchelea asije kupatwa na maradhi amepewa udhuru.
Muhusika: Imaam ´Aliy bin Sulaymaan al-Mardaawiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-Inswaaf (4/464)
Imechapishwa: 15/03/2020
https://firqatunnajia.com/kuacha-kuswali-swalah-ya-ijumaa-na-swalah-ya-mkusanyiko-kwa-kuogopa-ugonjwa/