Kuacha kazi ya watu kwa ajili ya kuswali Sunnah

Swali 210: Je, mtu aache kazi ili aswali Dhuhaa?

Jibu: Hapana; kwa sababu kazi ni ya lazima na swalah hiyo inapendeza tu. Isipokuwa akiiswali kabla ya kazi au wakati ambao hana kazi ndani yake.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 89
  • Imechapishwa: 01/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´