Kondoo au mbuzi wa ´Aqiyqah ni lazima wachinjwe siku moja?

Swali: Je, imeshurutishwa katika ´Aqiyqah ya mtoto wa kiume kuchinja kondoo wawili katika wakati mmoja au ni sawa kuwachinja masiku tofauti?

Jibu: Bora ni kuwachinja katika wakati mmoja ikisahilika kufanya hivo. Asipoweza basi jambo ni lenye wasaa.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (22)
  • Imechapishwa: 29/10/2021