Kiwindwa kilichokosewa wakati wa Ihraam

426 – Nilimuuliza Shaykh kuhusu aliyeua mawindo kwa kukosea. Je, atamla?

Jibu: Hapana; ni maiti.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 140
  • Imechapishwa: 28/08/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´