Swali 597: Vipi kuhusu kiwindwa cha mtoto wa kiume?

Jibu: Dhahiri ni kwamba inajuzu ikiwa amefikia umri wa kupambanua mambo. Hukumu yake inapokuja katika kutaja jina la Allaah ni hukumu moja sawa na mjinga.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 213
  • Imechapishwa: 06/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´