Kitu cha kwanza kulishwa mtoto anapozaliwa

Swali: Je, ni katika Sunnah mtoto wa kuzaliwa kupewa tende?

Jibu: Ndio, kwa kuwa tende ina sifa yake ya kipekee. Inatakiwa kitu cha kwanza kuingia kinywani mwa mtoto iwe ni tende. Hivi ndio bora.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (42) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1432-03-10.MP3
  • Imechapishwa: 16/11/2014