Kitabu kilichotungwa safarini

736 – Nilimuuliza Shaykh wetu kuhusu kuandika kwa Ibn-ul-Qayyim kitabu ”Zaad-ul-Ma´aad” akiwa safarini?

Jibu: Yeye ndiye kasema hivo kwamba alikitunga akiwa safarini.

Swali 737: Je, haiwezekani kuwa alikianza akiwa safarini na akakikamilisha akiwa mjini mwake?

Jibu: Hakuna kinachozuia mtu kuandika akiwa safarini kwa yule ambaye Allaah amempa elimu.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 261
  • Imechapishwa: 12/07/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´