ar-Rabiy´ bin Sulaymaan amesema:
“ash-Shafi´iy alikuwa akikhitimisha Qur-aan kila usiku. Katika Ramadhaan alikuwa akikhitimisha kila usiku na kila mchana. Kwa hiyo alikuwa akikhitimisha Qur-aan katika Ramadhaan mara sitini.
al-Maymuun amesema:
“Nimemsikia Ahmad bin Hanbal akisema: “Huwaombea du´aa watu sita kabla ya alfajiri. Mmoja wao ni ash-Shaafi´iy.”
- Muhusika: Imaam Abuul-Husayn Muhammad bin Abiy Ya´laa al-Hanbaliy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Twabaqaat-ul-Hanaabilah (2/268)
ar-Rabiy´ bin Sulaymaan amesema:
“ash-Shafi´iy alikuwa akikhitimisha Qur-aan kila usiku. Katika Ramadhaan alikuwa akikhitimisha kila usiku na kila mchana. Kwa hiyo alikuwa akikhitimisha Qur-aan katika Ramadhaan mara sitini.
al-Maymuun amesema:
“Nimemsikia Ahmad bin Hanbal akisema: “Huwaombea du´aa watu sita kabla ya alfajiri. Mmoja wao ni ash-Shaafi´iy.”
Muhusika: Imaam Abuul-Husayn Muhammad bin Abiy Ya´laa al-Hanbaliy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Twabaqaat-ul-Hanaabilah (2/268)
https://firqatunnajia.com/kisomo-cha-ash-shaafiiy-katika-ramadhaan/