Swali: Shari´ah inasemaje kuhusu yale yanayosemwa na baadhi ya wafasiri wa Qur-aan kuhusu kisa cha Tha´labah kinachosema kuwa alikataa kutoa zakaah na hivyo akateremka juu yake na Aayah ndani ya Qur-aan?

Jibu: Hakikuthibiti. Tumezungumzia hilo mwanzoni mwa “as-Swahiyh al-Musnad min Asbaab-in-Nuzuul”, ndugu Saliym Hilaal ana kitabu juu yake, vivyo hivyo ´Adaab Mahmuud al-Hamsh ambaye ni mwenye kuachwa.

  • Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Qam´-ul-Mu´aanid, uk. 175
  • Imechapishwa: 15/02/2025