Swali: Je, inajuzu kuokota kiokotwa Minaa, Muzdalifah na ´Arafah wakati wa Hajj?
Jibu: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikataza kuokota kiokotwa Haram. Akiikuta mali iliyopotea ndani ya Haram, basi ataendelea kuitangazia daima na asiimiliki; ispokuwa ikiwa imepotea nje ya Haram, mfano katika ´Arafah njiani, basi kuchukua tahadhari zaidi ni kwamba aendelee kuitangaza daima au kuikabidhi kwa kamati husika. Kwa sababu katika baadhi ya Hadiyth Swahiyh Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikataza mali iliyopotea ya Hajj. Hili linahusisha mali iliyopotea ndani ya Haram na hata nje ya Haram. Kwa hiyo inapasa kuendelea kuitangaza daima au kuikabidhi kwa idara ya serikali ili wampe mmiliki wake.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/30952/ما-حكم-اللقطة-في-منى-وعرفات-اثناء-الحج
- Imechapishwa: 17/09/2025
Swali: Je, inajuzu kuokota kiokotwa Minaa, Muzdalifah na ´Arafah wakati wa Hajj?
Jibu: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikataza kuokota kiokotwa Haram. Akiikuta mali iliyopotea ndani ya Haram, basi ataendelea kuitangazia daima na asiimiliki; ispokuwa ikiwa imepotea nje ya Haram, mfano katika ´Arafah njiani, basi kuchukua tahadhari zaidi ni kwamba aendelee kuitangaza daima au kuikabidhi kwa kamati husika. Kwa sababu katika baadhi ya Hadiyth Swahiyh Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikataza mali iliyopotea ya Hajj. Hili linahusisha mali iliyopotea ndani ya Haram na hata nje ya Haram. Kwa hiyo inapasa kuendelea kuitangaza daima au kuikabidhi kwa idara ya serikali ili wampe mmiliki wake.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/30952/ما-حكم-اللقطة-في-منى-وعرفات-اثناء-الحج
Imechapishwa: 17/09/2025
https://firqatunnajia.com/kiokotwa-katika-hajj/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket