Swali: Kuhusiana na paka, punda na vitu vingine, kanuni ya msingi ni kwamba ni najisi.
Jibu: Kanuni ya msingi ni visafi, kwa sababu ni miongoni mwa wanyama wenye kuishi nasi, kama alivyosema Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Kilicho najisi ni nyama yake tu. Kuhusu mwili wake akiwa hai ni safi, tofauti na mkojo na kinyesi chake ambavyo ni najisi, kama wanadamu. Mwanadamu ni msafi, lakini kinyesi chke ni najisi pia. Hukumu ni hiyohiyo juu ya punda, nyumbu na paka. Kinyesi na mkojo wake ni najisi. Lakini miili yao ni safi.
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24691/هل-ابدان-الحمار-والبغل-والهرة-طاهرة
- Imechapishwa: 27/11/2024
Swali: Kuhusiana na paka, punda na vitu vingine, kanuni ya msingi ni kwamba ni najisi.
Jibu: Kanuni ya msingi ni visafi, kwa sababu ni miongoni mwa wanyama wenye kuishi nasi, kama alivyosema Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Kilicho najisi ni nyama yake tu. Kuhusu mwili wake akiwa hai ni safi, tofauti na mkojo na kinyesi chake ambavyo ni najisi, kama wanadamu. Mwanadamu ni msafi, lakini kinyesi chke ni najisi pia. Hukumu ni hiyohiyo juu ya punda, nyumbu na paka. Kinyesi na mkojo wake ni najisi. Lakini miili yao ni safi.
Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24691/هل-ابدان-الحمار-والبغل-والهرة-طاهرة
Imechapishwa: 27/11/2024
https://firqatunnajia.com/kinyesi-na-mkojo-wa-punda-paka-na-nyumbu/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)